•  8/7/2019 21:08

Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia, mchangamfu na mwenye nguvu za ujana, wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni. Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu. Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake.

Soma zaidi
  •  8/6/2019 20:02

Upendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.

Soma zaidi
  •  8/5/2019 20:45

Nafaidika sana kutokana na kusoma maneno ya Mungu kila siku. Kwa kuelewa ukweli mwingi, sasa nina kanuni za tabia za kibinadamu. Ni ukweli unaoonyeshwa na Mungu ndio huutakasa upotovu wangu. Maneno ya Mungu ya hukumu na kuadibu yatembea nami maishani mwangu.

Soma zaidi
  •  8/4/2019 20:18

Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi. Kwa kuwa Alimuumba mwanadamu na Anamsimamia, ni lazima awajibikie matarajio na jalaa ya mwanadamu.

Soma zaidi
  •  8/3/2019 20:08

Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote. Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa, wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu. Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa.

Soma zaidi
  •  8/2/2019 19:51

Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...), mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...), ukiangaza njia yote kwenda magharibi. Mwana wa Adamu ameshuka duniani.

Soma zaidi
  •  8/1/2019 19:21

Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Soma zaidi
  •  6/15/2019 09:06

Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu.

Soma zaidi
  •  6/3/2019 20:47

Nyimbo za Dini | Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha. Ni tu kwa kusikiza neno Lake na kumuandama, ndio nyayo Zake zinaweza kufuatwa na ahadi pokewa.

Soma zaidi
  •  5/29/2019 06:25

Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani, kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu, ndipo wataweza kuwa wasiri Wake, ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu.

Soma zaidi
I BUILT MY SITE FOR FREE USING