•  10/31/2019 16:09

Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima.

Soma zaidi
  •  10/30/2019 00:54

Ee Mungu! Unaniongoza katika maisha mapya. Nikifurahia maneno Yako, nimeelewa mapenzi Yako. Maneno Yako yanihukumu na kuniadhibu, na kutakasa upotovu wangu. Kupitia majaribu nimejifunza kukutii Wewe.

Soma zaidi
  •  10/29/2019 18:38

Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.

Soma zaidi
  •  10/27/2019 18:07

Mpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.

Soma zaidi
  •  10/25/2019 20:51

Maneno ya Mungu ni ukweli, usiobadilika milele. Mungu ndiye mpaji wa uzima, na kiongozi pekee wa mwanadamu. Thamani na maana ya maneno Yake yanaamuliwa na kiini chao, sio kama mwanadamu anayakubali au kuyatambua.

Soma zaidi
  •  10/24/2019 19:22

Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu. Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.

Soma zaidi
  •  10/15/2019 18:54

Kazi ya Mungu inaendelea kuwa bora; ingawa kusudi linabaki bila kubadilika, mbinu ya kazi Yake inabadilika daima, na hivyo pia wale wanaomfuata.

Soma zaidi
  •  10/13/2019 18:26

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho.

Soma zaidi
  •  8/24/2019 20:27

Kupitia neno la Mungu la utendaji, unyonge wa mwanadamu na uasi yanahukumiwa na kufichuliwa. Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji Wanaona kuwa Mungu amekuja katika ulimwengu huu wa binadamu.

Soma zaidi
  •  8/23/2019 20:04

Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu, Mungu anageuka kuutazama ulimwengu na unaanza kutingika. Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake? Ama kuishi katika janga Analotoa?

Soma zaidi
  •  8/9/2019 20:55

Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu. Mara utakapomwelewa Mungu wako, utaelewa kile kilicho moyoni Mwake, na kufurahia kile kilicho ndani Yake kwa imani na usikivu wako wote.

Soma zaidi
  •  8/8/2019 21:24

Mungu aliumba vitu vyote, na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake. Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake.

Soma zaidi
I BUILT MY SITE FOR FREE USING