•  12/26/2019 20:39

Kwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.

Soma zaidi
  •  12/17/2019 09:18

Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.

Soma zaidi
  •  12/16/2019 09:10

Mandhari iliyochorwa katika Biblia “Amri ya Mungu kwa Adamu” ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao.

Soma zaidi
  •  12/15/2019 08:01

Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.

Soma zaidi
  •  12/14/2019 09:52

Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.

Soma zaidi
  •  12/13/2019 10:40

Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako. Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme. Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari, tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu.

Soma zaidi
  •  12/12/2019 09:23

Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu.

Soma zaidi
  •  12/11/2019 12:13

Leo naja mbele ya Mungu tena, naona uso Wake wa kupendeza. Leo naja mbele ya Mungu tena, nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.

Soma zaidi
  •  12/7/2019 20:39

Mwenyezi Mungu mwenye mwili Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki, kama tu vile jua la haki likichomoza; mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.

Soma zaidi
  •  12/6/2019 19:21

Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha. Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka. Mimi niko bila uhasi wowote, sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.

Soma zaidi
  •  11/30/2019 20:23

Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu.

Soma zaidi
  •  11/29/2019 22:04

Kwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu, lazima tutafute mapenzi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.

Soma zaidi
I BUILT MY SITE FOR FREE USING