•  12/4/2019 20:56

Jina lake ni Xiao Li. Ameamini katika Mungu kwa zaidi ya muongo mmoja. Katika majira ya baridi ya mwaka wa 2012, alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China katika mkutano.

Soma zaidi
  •  12/3/2019 23:25

Jina la kijana huyu ni Gao Liang na alikuwa na umri wa miaka 17 mwaka huo. Alikuwa njiani akielekea nyumbani kutoka kueneza injili na ndugu mkubwa wakati ambapo alikamatwa na polisi wa Kikomunisti wa China.

Soma zaidi
  •  11/28/2019 21:44

Wakati ule ule Wenya alipokuwa akiteseka na bila msaada, dada wawili kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu waliwatolea Wenya, mama na dadake ushuhuda juu ya kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho.

Soma zaidi
  •  11/27/2019 19:27

Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alitabiri, "Na usiku wa manane pakawa na kelele, Tazama, bwana harusi anakuja; tokeni nje mwende kumlaki" (Mathayo 25:6).

Soma zaidi
  •  11/18/2019 22:06

Cheng Huize ni mfanyakazi mwenzi katika kanisa la nyumba huko China. Ameamini katika Bwana kwa miaka mingi, na amefanya kazi kwa ajili ya Bwana kwa shauku thabiti.

Soma zaidi
  •  11/17/2019 20:40

Miaka 2,000 iliyopita, Bwana Yesu alipofanya kazi ya ukombozi, Alipitia kashfa mbaya na shutuma kutoka kwa jamii ya kidini ya Kiyahudi. Viongozi wa Kiyahudi walijiunga na serikali ya Kirumi na kumsulubisha msalabani.

Soma zaidi
  •  11/14/2019 22:10

Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo. Kipindi chake cha heri na furaha kubwa kilikaribishwa na kuanzisha Ukristo kama dini yake ya kitaifa.

Soma zaidi
  •  11/9/2019 20:27

Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo ya kompyuta ya mtandaoni.

Soma zaidi
  •  11/8/2019 20:10

Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesu katika Agano Jipya.

Soma zaidi
  •  11/7/2019 18:42

Zheng Mu'en ni mfanyakazi mwenza katika kanisa la Kikristo nchini Marekani, amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na anafanya kazi kwa bidii na humtumia Bwana.

Soma zaidi
  •  11/6/2019 18:26

Fan Guoyi alikuwa mzee wa kanisa la nyumba kule Uchina. Wakati wa zaidi ya miaka ishirini ya huduma, siku zote alimwiga Paulo, na kufanya kazi kwa bidii na akamtumikia Bwana kwa shauku kubwa.

Soma zaidi
  •  11/5/2019 17:38

Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu. Alipofurahia utele wa neno la Mungu, yeye alielewa kwa kina upana wa wokovu wa Mungu.

Soma zaidi
I BUILT MY SITE FOR FREE USING