17 Nov
Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord


Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | See Through Rumors and Welcome the Lord


Miaka 2,000 iliyopita, Bwana Yesu alipofanya kazi ya ukombozi, Alipitia kashfa mbaya na shutuma kutoka kwa jamii ya kidini ya Kiyahudi. Viongozi wa Kiyahudi walijiunga na serikali ya Kirumi na kumsulubisha msalabani. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu—Bwana Yesu aliyerudi katika mwili—Amefika nchini China kufanya kazi ya hukumu. Tena, Anakabiliwa na hukumu ya kichaa, kukandamiza, na kukamatwa wakati huu na serikali ya Kikomunisti ya China na ulimwengu wa kidini. Uvumi ulioenea na mawazo yasiyofaa ambayo huhukumu na kuliharibia jina Kanisa la Mwenyezi Mungu ni kama mtego usioonekana, unaofunga na kuwadhibiti waumini wasiohesaka. Tanzia ya historia inajirudia yenyewe ...


Shujaa wa filanu hii ni mmoja wa waumini hao wasiohesabika. Aliposikia injili ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho mara ya kwanza, alichanganyikiwa na uvumi wa serikali ya CCP na viongozi wa dini. Alifungwa, akiwa amepotea katika kuchanganyikiwa kwake ... Baada ya mijadala kadhaa iliyochacha, maneno ya Mwenyezi Mungu yalimwelekeza kutambua ukweli, na hatimaye aliweza kung'amua ukweli halisi wa uvumi huo. Alipita katika mtego na kuona kuonekana kwa Mungu wa kweli ...


Zaidi: Sehemu kuja kwa yesu mara ya pili inatoa utambuzi katika ukweli kuhusu kuja kwake Yesu Kristo kwa mara ya pili kutoka kwa unabii katika Biblia, ishara za nyakati za mwisho, na siri ya kuja kwake Yesu kwa mara ya pili.

Maoni
* Barua pepe haitachapishwa kwenye wavuti.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING