Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Soma zaidiEe Mungu! Unaniongoza katika maisha mapya. Nikifurahia maneno Yako, nimeelewa mapenzi Yako. Maneno Yako yanihukumu na kuniadhibu, na kutakasa upotovu wangu. Kupitia majaribu nimejifunza kukutii Wewe.
Soma zaidiHaikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Soma zaidiMpendwa Mwenyezi Mungu, ni Wewe ndiye Unayenipenda, uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi hadi kwa mazoezi ya ufalme. Maneno Yako yamenitakasa, yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
Soma zaidiWakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani, Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu. Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Soma zaidiAnapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu, Mungu anageuka kuutazama ulimwengu na unaanza kutingika. Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake? Ama kuishi katika janga Analotoa?
Soma zaidiNafaidika sana kutokana na kusoma maneno ya Mungu kila siku. Kwa kuelewa ukweli mwingi, sasa nina kanuni za tabia za kibinadamu. Ni ukweli unaoonyeshwa na Mungu ndio huutakasa upotovu wangu. Maneno ya Mungu ya hukumu na kuadibu yatembea nami maishani mwangu.
Soma zaidi