Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Soma zaidiMandhari iliyochorwa katika Biblia “Amri ya Mungu kwa Adamu” ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao.
Soma zaidiPapa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.
Soma zaidiKuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Soma zaidiMwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako. Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme. Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari, tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu.
Soma zaidiLeo naja mbele ya Mungu tena, naona uso Wake wa kupendeza. Leo naja mbele ya Mungu tena, nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Soma zaidiEe Mungu! Unaniongoza katika maisha mapya. Nikifurahia maneno Yako, nimeelewa mapenzi Yako. Maneno Yako yanihukumu na kuniadhibu, na kutakasa upotovu wangu. Kupitia majaribu nimejifunza kukutii Wewe.
Soma zaidiHaikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Soma zaidiWakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu. Mara utakapomwelewa Mungu wako, utaelewa kile kilicho moyoni Mwake, na kufurahia kile kilicho ndani Yake kwa imani na usikivu wako wote.
Soma zaidiUpendo ni hisia safi, safi bila dosari. Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza. Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga. Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Soma zaidiNafaidika sana kutokana na kusoma maneno ya Mungu kila siku. Kwa kuelewa ukweli mwingi, sasa nina kanuni za tabia za kibinadamu. Ni ukweli unaoonyeshwa na Mungu ndio huutakasa upotovu wangu. Maneno ya Mungu ya hukumu na kuadibu yatembea nami maishani mwangu.
Soma zaidiUangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote. Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa, wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu. Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa.
Soma zaidi