Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu (II)” Sehemu ya Tatu
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
1. Jinsi Ambavyo Shetani Hutumia Maarifa Kumpotosha Mwanadamu
2. Jinsi ambavyo Shetani Hutumia Sayansi Kumpotosha Mwanadamu
3. Jinsi Ambavyo Shetani Hutumia Desturi ya Kitamaduni Kumpotosha Mwanadamu
4. Jinsi Ambavyo Shetani Hutumia Ushirikina Kumpotosha Mwanadamu
Tazama Video: Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki "Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19"