“Kutamani Sana” – Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia? | Clip 5/5
“Kutamani Sana” – Ni Mahali Gani Ambapo Bwana Ametutayarishia? | Clip 5/5
26 Oct
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu aliahidi, "Naenda kuwatayarishia mahali. Na nikienda kuwatayarishia mahali, nitarudi tena na kuwapokea kwangu; ili mahali nipo, muweze kuwa pia" (Yohana 14:2-3). Watu wengi wanasadiki kwamba Bwana alirudi mbinguni, hivyo ni yakini kwamba Anatutayarishia mahali sisi kule mbinguni. Je, ufahamu huu unaenda sambamba na maneno ya Bwana? Je, ni mafumbo yapi yanapatikana kwenye ahadi hii?
Tovuti ya Kanisa la Mwenyezi Mungu ni tovuti ya injili ambayo inadhihirisha Mwenyezi Mungu na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Inatoa ushuhuda kwa ukweli kwamba Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu na Amekwisha kurudi.