07 Jun
“Kubisha Hodi Mlangoni” – Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana | Swahili Gospel Film Clip 1/5

“Kubisha Hodi Mlangoni” – Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana | Swahili Gospel Film Clip 1/5

   Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu, na mimi Ninawajua, nao hunifuata" (Yohana 10:27). Pia imetabiriwa mara nyingi katika Ufunuo, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa." Sauti na maneno ya Roho ni sauti ya Bwana, na ni kondoo wa Mungu mbao watatambua sauti ya Mungu. Ni tendo gani, basi, lililo muhimu kwa Wakristo wanapoukaribisha ujio wa Bwana?

    Video Husika: Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini

   Tazama Zaidi: Filamu za Kikristo


Maoni
* Barua pepe haitachapishwa kwenye wavuti.
I BUILT MY SITE FOR FREE USING