Mafundisho ya Ukristo yanatoka kwa Biblia, na mafundisho ya Kanisa la Mwenyezi Munguyanatoka kwa ukweli wote ulioonyeshwa na Mungu tangu wakati wa uumbaji wakati wa kazi ya Enzi ya Sheria, Enzi ya Neema, na Enzi ya Ufalme.
Soma zaidiKanisa linalenga kueneza na kushuhudia kwa injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu, likiwaruhusu watu kuona kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Bwana Yesu aliyerudi wa siku za mwisho, na kwamba Yeye ameanza kazi ya “lazima hukumu ianze katika nyumba ya Mungu” (1 Petro 4:17)
Soma zaidiUkristo na Kanisa la Mwenyezi Mungu huamini katika Mungu huyo huyo. Watu wanaoelewa historia ya dini wanajua kwamba Uyahudi wa Israeli ulizaliwa na kazi ambayo Yehova Mungu alifanya wakati wa Enzi ya Sheria.
Soma zaidiWanadamu walipopotoshwa na Shetani, Mungu alianza mpango Wake wa usimamizi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Mungu ametekeleza hatua tatu za kazi kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.
Soma zaidiMakanisa ya Ukristo yalipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Bwana Yesu aliyepata mwili, na Kanisa la Mwenyezi Mungu lilipata kuwepo kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu mwenye mwili wa siku za mwisho.
Soma zaidiWatu wengi hawaelewi ni kwa nini, kwa kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho, Bwana Yesu anaitwa Mwenyezi Mungu wakati Anapokuja kufanya kazi ya hukumukatika siku za mwisho.
Soma zaidiKatika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu.
Soma zaidiKatika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3)
Soma zaidiMwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini.
Soma zaidiChina ni nchi ambamo joka kubwa jekundu hukaa, na ni mahali ambapo pamempinga na kumshutumu Mungu zaidi sana katika historia. China ni kama ngome ya mapepo na gereza linalodhibitiwa na shetani, lisilopenyeka na lisiloingilika.
Soma zaidiKama wale mamia ya mamilioni ya wengine wanaomfuata Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana.
Soma zaidiUkitaka kupata uzima wa milele, lazima kwanza uelewe chanzo cha uzima wa milele, na lazima kwanza ujue Mungu yuko wapi.
Soma zaidiUnapaswa kufanya lolote ambalo lina manufaa kwa kazi ya Mungu, na hupaswi kufanya chochote ambacho kitaleta madhara kwa manufaa ya kazi ya Mungu. Unapaswa kutetea jina la Mungu, ushahidi Wake, na kazi ya Mungu.
Soma zaidiIsipokuwa Yule ambaye anatawala kila kitu katika ulimwengu, Hakuna anayeweza kuongoza na kuelekeza jamii hii ya wanadamu.
Soma zaidiKatika maisha yenu ya kila siku, mnaishi katika hali na mazingira yasiyo na ukweli ama fahamu nzuri. Hamna rasilimali ya uwepo na pia hamna msingi wa Kunijua au kujua ukweli.
Soma zaidiKuishi kwa mwanadamu kunategemea kupata mwili kwa roho. Kwa maneno mengine, kila mtu anapata maisha ya kibinadamu ya mwili baada ya roho yake kupata mwili.
Soma zaidiKazi Yangu iko karibu kukamilika. Miaka mingi ambayo tumeshinda pamoja imekuwa kumbukumbu zisizovumilika za siku za nyuma. Nimeendelea kurudia maneno Yangu na Sijakoma kuendelea katika kazi Yangu mpya.
Soma zaidiKazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia.
Soma zaidiKwa sababu hii hasa, wengi kati yenu wanajaribu daima kujipendekeza kwa Mungu mbinguni, lakini kwa kweli, uaminifu wenu na uwazi kwa Mungu ni wa kiasi kidogo sana ukilinganishwa na uaminifu na uwazi wenu kwenu wenyewe.
Soma zaidiWakati huo, Yesu alisema kuwa kazi ya Yehova ilikuwa imebaki nyuma kwa Enzi ya Neema, kama Nisemavyo leo kwamba kazi ya Yesu imebaki nyuma.
Soma zaidiKwa hakika, tabia ya Mungu iko wazi kwa kila mmoja na haijafichwa, kwa sababu Mungu hajawahi kuepuka kimakusudi mtu yeyote na Hajawahi kimakusudi kujaribu kujificha Mwenyewe ili watu wasiweze kumjua Yeye au kumwelewa Yeye.
Soma zaidiHii inajumlisha hatua yote ya “kumcha Mungu na kuepuka maovu” na pia ni maudhui katika kumcha Mungu na kuepuka maovu kwa ujumla, na pia njia ambayo ni lazima kupitia ili kufikia kumcha Mungu na kuepuka maovu.
Soma zaidiMlitengwa kutoka kwa matope na kwa vyovyote vile, mlichaguliwa kutoka kwa mashapo, wachafu na mliochukiwa na Mungu. Mlikuwa wa Shetani[a] na wakati mmoja mlikanyagwa na kuchafuliwa na yeye.
Soma zaidiKwa kuwa Mungu alimuumba mwanadamu, Atamwongoza; kwa kuwa Anamwokoa mwanadamu, Atamwokoa na kumpata kabisa; kwa kuwa anamwongoza mwanadamu, Atamfikisha katika hatima sahihi.
Soma zaidiUsimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu wanaomwabudu na kumtii Yeye. Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena. Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Soma zaidiMandhari iliyochorwa katika Biblia “Amri ya Mungu kwa Adamu” ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya hao wawili ni wa ndani sana tunaanza kuhisi mshangao.
Soma zaidiPapa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu.
Soma zaidiKuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana.
Soma zaidiMwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako. Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme. Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari, tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu.
Soma zaidiKwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu.
Soma zaidiLeo naja mbele ya Mungu tena, naona uso Wake wa kupendeza. Leo naja mbele ya Mungu tena, nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Soma zaidiMwenyezi Mungu mwenye mwili Anaonekana katika siku za mwisho Mashariki, kama tu vile jua la haki likichomoza; mwanadamu ameona mwanga wa kweli ukionekana.
Soma zaidiKuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha. Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka. Mimi niko bila uhasi wowote, sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Soma zaidiWanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu.
Soma zaidiKwa kuwa tunatafuta nyayo za Mungu, lazima tutafute mapenzi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi ya Mungu, tutafute maneno ya Mungu na matamshi Yake.
Soma zaidiManeno ya Mungu ya Kila Siku | "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 2)
Soma zaidiManeno ya Mungu ya Kila Siku | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee V Utakatifu wa Mungu II" (Dondoo 1)
Soma zaidiMwenyezi Mungu anasema, “‘Kumwogopa Mungu na kuepuka maovu’ na kumjua Mungu ni uhusiano usiogawanyishwa na uliounganishwa kwa nyuzi zisizohesabika, na uhusiano kati yao ni dhahiri.
Soma zaidiMwanadamu anaishi katikati ya mwanga, ilhali hana habari kuhusu thamani ya mwanga huo. Hana ufahamu kuhusu kiini cha mwanga huo, na chanzo cha mwanga huo, na, zaidi ya hayo, hajui mmiliki wake ni nani.
Soma zaidiKunayo siri kubwa moyoni mwako, ambayo hujawahi kuifahamu kamwe, kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu bila mwanga. Moyo wako na roho yako vimepokonywa na yule mwovu.
Soma zaidiNi sheria ya Mbinguni na kanuni za duniani kumwamini Mungu na kumjua Mungu, na leo—wakati wa enzi ambapo Mungu mwenye mwili Anafanya kazi Yake mwenyewe—ndio wakati mwafaka hasa wa kumjua Mungu.
Soma zaidiKristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Soma zaidiYesu alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Akatamatisha Enzi ya Sheria, Alileta Enzi ya Neema. Mungu mara nyingine akakuwa mwili katika siku za mwisho. Akitamatisha Enzi ya Neema, Alileta Enzi ya Ufalme.
Soma zaidiNi Mungu Mwenyewe tu anaweza kukusaidia kuepuka maovu na kukuokoa kutoka kwa madhara na udhibiti wa Shetani. Kando na Mungu, hakuna mtu au kitu kinaweza kukuokoa kutoka kwa bahari ya mateso, ili usiteseke tena: Hili linaamuliwa na kiini cha Mungu.
Soma zaidiMaudhui ya video hii: Shetani Hajawahi Kuthubutu Kukiuka Mamlaka ya Muumba, na Kwa Sababu Hiyo, Vitu Vyote Vinaishi kwa Mpangilio Mungu Pekee, Ambaye Anao Utambulisho wa Muumba, Anamiliki Mamlaka ya Kipekee
Soma zaidiMaudhui ya video hii: 1. Jinsi Ambavyo Shetani Hutumia Maarifa Kumpotosha Mwanadamu 2. Jinsi ambavyo Shetani Hutumia Sayansi Kumpotosha Mwanadamu 3. Jinsi Ambavyo Shetani Hutumia Desturi ya Kitamaduni Kumpotosha Mwanadamu ……
Soma zaidiKila mtu anahisi kuwa usimamizi wa Mungu ni wa ajabu, kwa sababu watu wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu hauna uhusiano wowote na mwanadamu. Wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu ni kazi ya Mungu pekee, shughuli za Mungu, na hivyo wanadamu hawajali kuhusu usimamizi wa Mungu.
Soma zaidiUmeme wa Mashariki, hata hivyo, limekuwa la kusisimua zaidi, licha ya shutuma na mateso mengi yenye mhemko kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya Uchina na jamii ya dini.
Soma zaidiChini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha….
Soma zaidiWakati Zhao Xun anasikia maneno yaliyonenwa na Bwana aliyerudi, anahisi kwamba maneno haya yote ni ukweli.
Soma zaidiTangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.
Soma zaidiTangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.
Soma zaidiTangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini.
Soma zaidiTao Wei alikuwa mhubiri kutoka kanisa la nyumba. Kanisa lake lilipokuwa na ukiwa zaidi na zaidi siku baada ya siku, wafuasi wake wote wakawa walegevu na wenye roho dhaifu, na roho yake mwenyewe ilikuwa na giza.
Soma zaidiZhong Xin ni mhubiri kutoka katika kanisa moja la nyumbani katika bara China. Amekuwa muumini katika Mungu kwa miaka mingi na kila mara amepitia kukamatwa na mateso ya CCP.
Soma zaidiAliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na Bwana.
Soma zaidiChen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake.
Soma zaidiMzee wa kanisa Li, kutokana na imani pofu katika maneno ya wachungaji wa kidini, alihisi kwamba kazi na maneno yote ya Mungu yaliandikwa katika Biblia na kwamba chochote nje ya Biblia hakingeweza kuwa kazi na neno la Mungu.
Soma zaidiKatika maumivu, alimwomba Mungu. Neno la Mungu lilimpatia nuru na kumwongoza kubaini tena na tena hila za Shetani na lilimwongezea imani na nguvu.
Soma zaidiWimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.
Soma zaidiWimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.
Soma zaidiWimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele.
Soma zaidiKitabu cha Ufunuo anasema, “Na mimi Yohana nikauona mji mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukija chini kutoka kwa Mungu mbinguni. ... Tazama, hema takatifu la Mungu liko pamoja nao watu, na yeye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake.
Soma zaidiMwenyezi Mungu anasema, “Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope! Ah, Mambo mengi ya uumbaji Ninayoyashikilia mikononi Mwangu! ……
Soma zaidiKitabu cha Ufunuo anasema, “Na kwenye paji la uso wake jina liliandikwa, FUMBO, BABELI MKUBWA, MAMA WA MALAYA NA MAKURUHI YA DUNIA. Na nikamwona mwanamke huyo akiwa amelewa kwa damu yao watakatifu, na damu ya mashahidi wake Yesu...” (Ufunuo 17: 5-6).
Soma zaidiMwenyezi Mungu anasema, “Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope!” (Neno Laonekana katika Mwili).
Soma zaidiMwenyezi Mungu anasema, “Oo, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope!” (Neno Laonekana katika Mwili).
Soma zaidiMwenyezi Mungu anasema, “Maneno Yangu ni ukweli, uhai, njia, na upanga mkali ukatao kuwili, ambao unaweza kumshinda Shetani” (Neno Laonekana katika Mwili). Maneno ya Mungu ni kama upanga wenye makali pande mbili, yanayoweza kushinda nguvu zote za uovu.
Soma zaidiJe, unafikiria kuna kuzimu? Je, kuzimu iko namna gani hasa? Tafadhali fuatilia dondoo hii ya video!
Soma zaidi